Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Sawa mkuuSwala la kiwanja kuwa makini sana, viwanja vinauzwa mara mbili mbili pia mgogoro kwa viwanja upo sana.
Sawa mkuuKiwanja Cha uhakika uwe makini sasa
Ndio mkuuWatu wa kibaha mmefikiwa
Bei ipo juuKipo hapa maili Moja square meter400.bei milioni 68.ni kizuri sana.wahi maana ukichelewa kitachukuliwa na wengine