Nikiwa Director wa registered CBO iitwayo lifelong learning community based organisation
yenye ofisi mkoa wa Dodoma wilaya ya Dodoma mjini,,, Inajihusisha uhamasishaji wa masuala mbalimbali ya kielimu kama kuhamasisha elimu ya ujasiriamali,, Stadi za Maisha nk. nna kutoa huduma ya elimu kwa kkuanzisha pre- primary and primary school,,, kwa Sasa tunahamasisha na kutoa pre- primary education,, Tunahitaji financial support ili kufikia wanajamii wengi wa mjini na vijijini,,,
kwa maelezo zaidi 0712867264