Tunatafuta mtoto (ujauzito)

ni DP mkuuuu

sio D tu

ni wa juzi tu katoka bandari
Ha ha haaa kumbe umekakuta sealed basi subiri subiri walau timing belt iwe kibara...inabidi ukiwa barabara ya lami umuendeshe ki manual manual sio ki auto auto kama viajana wa Dar es Salaam! Ila chunga sana njia ya vumbi usimpitishe maana kuna tope na mvua hizi mtakwama!
 
Ingekuwa ni lazima ufanye hivi ndio mimba iingie watu wasingekuwa wanapata mimba zisizotarajiwa
Mi mwenyewe juzi kati hapa kuna mjeda mmoja alienda kulinda amani Sudani huko nami nikawa namlindia heshima ya nyumba yake hasa ukizingatia mkewe ni namba D ila nashukuru ilipofika service time ali hapakuwa na marinji rinji...mchepuko ana utamu wake jamani,mke wa ndoa ana ghubu mara nyingi!
 
abane kwa dakika ngapi kama mkuu?
Kwani ukiisha kojoa una haraka ya nini mkuu?, laleni au jipeni muda kwa kuendelea na romance kwa muda wa kutosha ili alainike vizuri ili ukipiga cha pili mnakojoa wote wawili 😂😂😂😂😂😂
 
Kwani ukiisha kojoa una haraka ya nini mkuu?, laleni au jipeni muda kwa kuendelea na romance kwa muda wa kutosha ili alainike vizuri ili ukipiga cha pili mnakojoa wote wawili 😂😂😂😂😂😂
dah Mahaba haya yahitaji tupewe somo la jinsi ya kufanya SEX unaanzaje mpk unamalizaje

Kuna vitu siviwezi kusema ukweli..

unachokiongelea mkuu kitawezekana kama tutatumia Kifo cha Mende kama style

Vipi ile mbuzi kagoma Hapo nadhani unajua jinsi midomo inavyokua mbali mkuu n lazma ntachomoa TU
 
Ni tatizo la kiufundi...nitumie nafasi hii kutangaza biashara...nauza miguu ya kuku!
🤣🤣🤣huoni kama umedondoshewa jumba bovu?? 😀😀😀
Ngoja nikaangalie nyuzi zangu nisije nikawa nimebambikiwa za aibu!
Si mteja wa miguu ya kuku😀
 
sema client3 una nasa wewe,ulikumbukaje?

na ulikua unatafuta nn hadi ukashtukia hili?

unafaa upewe cheo cha kupekua pekua kwakweli.
Kuna kitu nilikutana nacho horseshoe kaongea mahali nikatamani kumsoma zaidi ndio 🤣🤣nikakutana na hiki kituko🤣🤣


Halafu maskini Horseshoe ana moyo mweupe kweli kachukulia simple, Mimi break ya kwanza ingekuwa kwenye jukwaa la complains🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…