Taasisi ya Mifupa-MOI
Senior Member
- Apr 15, 2025
- 118
- 214
Sio anatafutwa mtu wa kulipa deni hapo...?
Ukute mwamba ni mmoja ya waliowahi kutekwa wakamuharibu mishipa ya kichwa ili asikumbuke chochote kisha akatelekezwa(ni mawazo yangu tu Sina maana kwamba ni kweli)TAASISI YA TIBA YA MIFUPA NA UBONGO MUHIMBILI (MOI)Mgonjwa (pichani) alipokelewa Desemba 17, 2025 akiwa amepata majeraha kichwani, hivyo amepoteza kumbukumbu. Hivi sasa afya yake imetengemaa hivyo tunaomba ndugu, jamaa na marafiki wanaomfahamu wafike Ofisi ya Ustawi wa Jamii MOI chumba namba 113 kwa utambuzi.
Kwa taarifa zaidi
0734 062 125
+255 733 803 104
taasisiyamifupa_MOI
Hapa ni Tz kaka, akili hiyo hawajapata ama lah jamaa nida hajawahi kujiandikisha.Tumieni fingerprints zake kupata taarifa zake kutoka mfumo NIDA
Hiyo ni akili kubwa mkuu.Umewaza kitu kikubwa sana.Tumieni fingerprints zake kupata taarifa zake kutoka mfumo NIDA
NakaziaTumieni fingerprints zake kupata taarifa zake kutoka mfumo NIDA
Aisee, hawa jamaa sio watu wa mchezo. Akili kubwa sana.Hiyo ni akili kubwa mkuu.Umewaza kitu kikubwa sana.
Ume act kama CIA na FBI ya marekani walitumia mbinu za hivi kugundua Osama yuko wapi japo sio kutumia finger print bali kutumia vinasaba vya damu.
Walipitisha chanjo feki kwa watoto Pakistan eneo ambalo walihisi Osama atakuwa anaishi hapo kwa watoto wa Osama wakaenda nao kuchanjwa kama raia wengine.
Kumbe majibu ya damu zote walikuwa wanapeleka Marekani.Lahaula vinasaba vya watoto wake vika match na vya dada yake Osama aliyepataga ajali ya gari Marekani akafariki.
Wamarekani wakasema now we got him
Ndio wakaanza sasa kufanya mazoezi jinsi ya kumvamia na pia satellite maalum ilikuwa inatumika kuchunguza nyumba hiyo.
Dah!!bado kijana mdogo sana... Mungu amjalie akae sawa kiakili inshallah......TAASISI YA TIBA YA MIFUPA NA UBONGO MUHIMBILI (MOI)Mgonjwa (pichani) alipokelewa Desemba 17, 2025 akiwa amepata majeraha kichwani, hivyo amepoteza kumbukumbu. Hivi sasa afya yake imetengemaa hivyo tunaomba ndugu, jamaa na marafiki wanaomfahamu wafike Ofisi ya Ustawi wa Jamii MOI chumba namba 113 kwa utambuzi.
Kwa taarifa zaidi
0734 062 125
+255 733 803 104
taasisiyamifupa_MOI
Sio ubinadamu huo mkuu! huyo tayari ana changamoto ya akili(kumbukumbu zimefutika)Nyie mruhusuni aondoke. Atajua anapoenda.