Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
daktari mmesema kwa sasa,,, huyo muuliza swali atakua anamaanisha before "sasa" je hakuwaga na jina? au mlimpokea bila kuchukua maelezo yake?
Semeja wewe mbishii eeeeeeee semejaa 😆😁ndo mueleze hapo kwenye barua yenu,, kwamba aliokotwa ili tujue
Wange piga picha nzuriii iwe rahisi mtu kuangalia kwa wepesi..Mmeshawaandalia na mkeka wao 😄
Ova
barua haija eleza yote hayo🤣🤣🤣 sasa mimi nitajuaje mgonjwa alifikaje hapo moi kwenuSEMEJA,
Mfano upo let's say posta UKADONDOKEWA NA KITU KIZITO KICHWANI..
HUNA KITAMBULISHO CHOCHOTE, HUNA SIMU..KUMBUKUMBU ZIKAPOTEA..WASAMALIA WANAKUPELEKA HOSPITAL..
Ukifikishwa hospital : UTAPEWA UTAMBULISHO WA MUDA(HOSPITAL NUMBER) Ili kufuatilia matibabu Yako maana kipaumbele ni KU SAVE LIFE..Sio kujua JINA.
Then hali ikitengemaa/ kupata ahueni still akawa Hana kumbukumbu na hana simu Wala vitambulisho ndio hapo huchukua hatua ya kupiga picha na kutangaza kwa UMMA (matangazo)
Hapo ndg jamaa wajiandae na mkekabarua haija eleza yote hayo🤣🤣🤣 sasa mimi nitajuaje mgonjwa alifikaje hapo moi kwenu
Ushawai kaa mazingira ya hospital ata kidgo hasa apo Muhimbili?.Farolito ameuliza taarifa haija kamilika ila umeona ulicho mjibu,,, sasa na mimi ndo nimekuuliza, Kwani alipo pelekwa hospital hakuandikwa jina
Unatumia tu common sense kila kitu sio lazima kielezwe na kama wangekuwa na maeelezo ayo wasingetoa Tangazo ilo.barua haija eleza yote hayo🤣🤣🤣 sasa mimi nitajuaje mgonjwa alifikaje hapo moi kwenu
asante kwa spana 🤣🤣🤣Unatumia tu common sense kila kitu sio lazima kielezwe na kama wangekuwa na maeelezo ayo wasingetoa Tangazo ilo.
kwa kweliHapo ndg jamaa wajiandae na mkeka
Tu
Ova
Wataambiwa,ndg nendenikwa kweli
Mnyooshe kabisa maelezo! Hao ndugu zake wakijitokeza mtawapa mgonjwa wao ili waondoke naye, au mtawakabidhi deni la matibabu la kulipa?
waende kwanza kwa utambuzi 😁Mnyooshe kabisa maelezo! Hao ndugu zake wakijitokeza mtawapa mgonjwa wao ili waondoke naye, au mtawakabidhi deni la matibabu la kulipa?