Tunatafuta watu wenye uzoefu katika kutengeneza beats

Tunatafuta watu wenye uzoefu katika kutengeneza beats

Tunatafuta watu wenye uzoefu katika kutengeneza beats, kucheza solo guitar na bass, tutafanya kazi katika studio yetu kubwa iliyoko Mbuyuni Salasala.
Kama kuna mtu unamfahamu ni-PM au 0621 014 638
Nahitaji kuwa nakuja weekend mnifunze,

Nina kichwa chepesi mno.
 
utamlipa kiasi gani...? yupo kijana anajua sana kutengeneza beat...kwa program huyo jamaa ni nouma sana moja ya kazi zake


1. kwangwa

2




3



4
 
Mimi siyo pro ila najaua kiasi chake, hasa mziki wa rock (soft rock), pop na funk.
Mabeat ya bongo fleva sina uzoefu nayo. Ila kama mtakuwa mnaruhusu watu wa kijifunza itakuwa vyema, nije kuwa najifunza mixing.
 
Back
Top Bottom