paul m kibinza
Member
- Jun 19, 2017
- 30
- 18
Nipo Hapa Mkuu.Tunatafuta watu wenye uzoefu katika kutengeneza beats, kucheza solo guitar na bass, tutafanya kazi katika studio yetu kubwa iliyoko Mbuyuni Salasala.
Kama kuna mtu unamfahamu ni-PM
Tucheck kwa namba hiyoNipo Hapa Mkuu.
Nahitaji kuwa nakuja weekend mnifunze,Tunatafuta watu wenye uzoefu katika kutengeneza beats, kucheza solo guitar na bass, tutafanya kazi katika studio yetu kubwa iliyoko Mbuyuni Salasala.
Kama kuna mtu unamfahamu ni-PM au 0621 014 638
Kujifunza niniNahitaji kuwa nakuja weekend mnifunze,
Nina kichwa chepesi mno.
Kujifunza kutengeneza beatsKujifunza nini
Unalipia?Mimi siyo pro ila najaua kiasi chake, hasa mziki wa rock (soft rock), pop na funk.
Mabeat ya bongo fleva sina uzoefu nayo. Ila kama mtakuwa mnaruhusu watu wa kijifunza itakuwa vyema, nije kuwa najifunza mixing.