Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,036
mimi nipo rukwa wilaya ya kalambo.mimi ni fundi mzuriKaribu sana
Uko Wilaya gani
Mbeye mjini mkuuKaribu sana
Uko Wilaya gani
Karibu sana
Uko Wilaya gani
mimi nipo rukwa wilaya ya kalambo.mimi ni fundi mzuri
Mbeye mjini mkuu
Ahsante sana
mm nipo Arusha
Uko Zuku?Ile TV idea uli fanikiwa?Au uko partnership na Zuku?
sawa mkuuPlz tuwasiliane
Nimependa sana bei ya vifurushi vyenu mkuu,nitawacheki,na bando likikata channel local zote zinabaki? Au ndo ntolee mpaka uwe na kifurushi tu?
Nikuuzie mkuu Ila local Chanel zinakata , sijanunua chanek tokea world cup 2018, MbeyaNimependa sana bei ya vifurushi vyenu mkuu,nitawacheki,na bando likikata channel local zote zinabaki? Au ndo ntolee mpaka uwe na kifurushi tu?