Tunataka kuwa kama Botswana: Yatupasa kufanya kama Botswana walivyofanya

Tunataka kuwa kama Botswana: Yatupasa kufanya kama Botswana walivyofanya

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Umiliki wa Makampuni ya Madini Botswana


Kampuni

1.Debswana Diamond LTD
WAMILIKI
Serikali ya Botswana (50%)

De Beers (50%

MADINI
Almasi, makaa ya mawe, shaba na nikeli

2.Bamangwato Concession ltd

WAMILIKI
Serikali ya Botswana (30%)

Anglo american (30%)

Wengine (40%)

MADINI

Nikeli na kobati

3.Tati Nickel Mining Co.

WAMILIKI

Serikali ya Botswana (15%)

Canadian Lionore Mining International (41%)

Anglo American (43%)

Wengine (1%)

MADINI
Nikeli na kobati

Chanzo: vyanzo mbali mbali
 
Huo muda wa kutoa hayo mapendekezo ni haupo.Sisi tuna vyama,wao wana uzalendo wa nchi
 
Mbona hatujiulizi ni kwa nini hatukupata ushauri wa Botswana na Namibia tangu wakati wote huo. Botswana ilikuwepo siku nyingi na tulijua kabisa wana mipango mizuri.
 
Umiliki wa Makampuni ya Madini Botswana


Kampuni

1.Debswana Diamond LTD
WAMILIKI
Serikali ya Botswana (50%)

De Beers (50%

MADINI
Almasi, makaa ya mawe, shaba na nikeli

2.Bamangwato Concession ltd

WAMILIKI
Serikali ya Botswana (30%)

Anglo american (30%)

Wengine (40%)

MADINI

Nikeli na kobati

3.Tati Nickel Mining Co.

WAMILIKI

Serikali ya Botswana (15%)

Canadian Lionore Mining International (41%)

Anglo American (43%)

Wengine (1%)

MADINI
Nikeli na kobati

Chanzo: vyanzo mbali mbali
Mmefikia wapi??
 
Back
Top Bottom