Umiliki wa Makampuni ya Madini Botswana
Kampuni
1.Debswana Diamond LTD
WAMILIKI
Serikali ya Botswana (50%)
De Beers (50%
MADINI
Almasi, makaa ya mawe, shaba na nikeli
2.Bamangwato Concession ltd
WAMILIKI
Serikali ya Botswana (30%)
Anglo american (30%)
Wengine (40%)
MADINI
Nikeli na kobati
3.Tati Nickel Mining Co.
WAMILIKI
Serikali ya Botswana (15%)
Canadian Lionore Mining International (41%)
Anglo American (43%)
Wengine (1%)
MADINI
Nikeli na kobati
Chanzo: vyanzo mbali mbali