Tunataka majibu: Ni nani Aliyemtishia Nape Nnauye Bastola?

Kwani yeye Nape mwenyewe anasemaje? 😊
 
Lile jamaa ni TISS, kigezo cha haraka haraka cha kuwagundua hao watu ni kutembea na bastola viunoni na kutovaa uniform. Ndio maana Mwigulu alisema hakuwa polisi
hata askari CID huwa muda wote wanakuwa na bastola kiunoni
 
Sema nataka sio tunataka na kwanza ili ikusaidie nini na pia nape yupo bize kuwaletea maendeleo wananchi wake wa jimbo la mtama hana muda na hayo mambo.
 
IGP na Bashite wote walimjua sana huyo Kisanduku...labda ni Madelu tu (Waziri wa Mambo ya Ndani nyakati hizo) hakumjua! Na hata kama angemjua, ujasiri wa kukiri angeupata wapi? Labda angesubiri kutoa ushahidi wake mbinguni!
Evarist Chahali said:
Kwani yeye Nape mwenyewe anasemaje? 😊

Nape? Acha utani bwana, Nape aseme nini! Of course aliufyata, chezea mnafiki mkubwa kama Nape! CCM ni chuo kikuu cha unafiki, ukifuzu lazima tu uwe mchawi!
 
The Son of the King...... Daudi Albert Bashite - the formal Superhero - aka attachable.
Rekebisha upesi Kiingereza ulichokitumia baada ya hilo neno la a.k.a kabla ya wale Wordsmiths hawajakucheka kwa Kulikosea japo Wewe unaona ( umeona ) umelipatia.
 
Sawa mkuu mkamuulizeni, usipopata jibu/taarifa sahihi basi angalia njia nyingine
Rekebisha hapo "mkamuulizeni usipopata jibu" mm sipo interesting kujua ni nani alitoa bastola ... Mm nimependekeza kwa mtoa UZI
 
Alitishiwa yeye akaomba msamaha yeye....madaraka haya.
 
Rekebisha hapo "mkamuulizeni usipopata jibu" mm sipo interesting kujua ni nani alitoa bastola ... Mm nimependekeza kwa mtoa UZI
Mimi pia nilitoa wazo langu, ila jibu lako lilionesha kuwa unapinga wazo langu, ndio nikaona isiwe tabu nikakuachia ulichoona ni bora na chenye matokeo chanya katika hii kadhia
 
Alikuwa babaako.
 
Baada ya Pombe kuondoka, ndiyo unajijitumua. Nchi ina watu wa hovyo hii.
 

Toa ujinga wako huko. Kwani nape aliambiwa na nani ukiwa waziri akifutwa kazi anaitisha mkutano wa waandishi wa habari. Ameambiwa asiitishe mkutano baada ya kutumbuliwa anajifanya yeye kama mtu special sana wakati ni mjinga tu uongozi ulimshinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…