Tunataka majibu: Ni nani Aliyemtishia Nape Nnauye Bastola?

Kwahiyo amekua waziri ili amjue aliyemshikia bastola??

Ndicho watanzania wanachokihitaji katika Wizara aliyopewa.

Kwa staili hii ndio maana bado hatujaachana na mikopo.
Dogo sukuma gang acha kuweweseka hapo buseresere.. huuu uzi umeuona ni wa leo!?
 
Hapana hamna haja ya visasi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo amekua waziri ili amjue aliyemshikia bastola??

Ndicho watanzania wanachokihitaji katika Wizara aliyopewa.

Kwa staili hii ndio maana bado hatujaachana na mikopo.
Wewe nawe wa kukosoa chochote ?!
 
Kwa nafasi aliyonayo sasa anauwezo wa kufuatilia mwenyewe na akajua kwa undani wa chanzo cha hilo.
 
Mrakibu wa Poris Afande Kisanduku
 
Henry Kisanduku ni nani na Gilbert kalanje ni nani. Ni watu wawili au mtu mmoja ni nani aliyemtolea Nape bastola

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…