Elections 2010 Tunataka matokeo ya kwae upesi with 1 hour viginevyo...

TanzActive

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Posts
367
Reaction score
73
Tutangazie halima wetu kashinda ,ama sivyo yatatokea ya shy
 
Tutangazie halima wetu kashinda ,ama sivyo yatatokea ya shy
Shy yameshatangazwa?maana nilisikia kulikuwa na fujo na mabomu ya machozi. Nasikia JK aliingia jioni mjini shy akitokea Mwanza. Matokeo ni vipi hapo Shy?
 
Shy yameshatangazwa?maana nilisikia kulikuwa na fujo na mabomu ya machozi. Nasikia JK aliingia jioni mjini shy akitokea Mwanza. Matokeo ni vipi hapo Shy?

anaenda huko kufanya nini hasa jamani mna uhakika mnachoongea?
 
Ni aibu kuchelewesha matokeo ya Dar
 
Tutangazie halima wetu kashinda ,ama sivyo yatatokea ya shy

Siwezi kukubali kumpa kura yangu mgombea anayeshinda, Halima Mdee, halafu ionekane ni ya mwingine ambaye sikumtaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…