conductor
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 811
- 681
Hamna nchi au mkoa utakaokombolewa na Mgeni, neno political will lazima liwe na wazawa ndani yake. Kulaumu haliwezi kuleta tija katika aina yoyote ya mapambano, iwe Ajira, afya, elimu au biashara. Lazima litokee kundi madhubuti kuongoza bidii, iwe ya maendeleo, au ulalamishi, au kuhubiri lazma itokee nguvu ya kusukuma afya ya HOJA.
Alaumiwe KIPA, Kocha, UWANJA au MWALIMU lazima MWISHO wa siku hatua mpya ianze, ubunifu mpya uzaliwe, kilicho kibovu kiondolewe, asiye na elimu aelimishwe, aliye mzembe abidiishwe na lazma imani mpya ijengeke miongoni mwa JAMII, lazma tuache kutumia kundi lile lile liloshindwa kufafanua na kutatua matatizo.
Kila anayeguswa na matatizo ya mkoa wa KAGERA basi aanze leo kwa kupiga goti kusali, kubuni njia mbadala ya ushawishi ili KAGERA sasa iwe na :
1.UWANJA MPYA WA NDEGE-OMUKAJUNGUTI
2. KILIMO CHA KAHAWA NA NDIZI (hotculture)..
3. USAFIR IMARA NA SALAMA KWENYE ZIWA VICTORIA (Bukoba -mwanza).
Tunataka mkoa KAGERA uwe Kati ya mikoa yenye SPECIALIZATION sio kila filimbi tunaitikia.
Basi KAMOCHA inakupa nafasi kutoa njia bora ya kurudisha KAGERA kwenye RAMANI YA KIUCHUMI na KIUTAMADUNI.
Wewe unayejiita msomi kutoka KAGERA, mkulima wa/kutoka Kagera, mwasiasa wa Kagera, MHAYA, Msubi, Mnyambo na wewe uliyeoa, na kuolewa Kagera nk kutoka Kagera leta ufanisi wako sasa nini kifanyike kusonga mbele katika ushindani wa KIUCHUMI na kiutamuduni.
Wakati unawaza kuchangia HOJA usisahau maneno haya kwa namna yoyote utakayo itafsiri.
1. GEOPOLITICS
2.POLITICIAN
3.PROPAGANDA
4.RELIGION.
Ukijiisi unapingana na KAMOCHA busara ikukumbushe ni Sawa na kutokuwa Mzalendo wa nchi YAKO.