Tunataka Serikali Mbili-Wazanzibar

Hata wabara wengi tumeshachoka na huu muungano wa uchwara
 
muungano ni mzimu, we dont want thith kind ov muungano wa kutuletea umasikini. Tanganyika nakupenda kwa moyo wote. Mungu ibariki Tanganyika, Mungu rudisha zanzibar hatuitaki iwe sehemu ya nchi yetu.:bored::bored:
 
Swali kwa Watanzania Bara aka Watanganyika, ni Serikali 3, 2 , 1
Swali kwa Wanzanibar ni Serikali moja au Serikali Tatu, hili swali la serikali 2 kwa wanzanzibar sio muafa kwao kwani wao tayari wanayo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…