Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Zaidi ya mara moja Russia imekua ikitoa vitisho kwamba ,endapo Finland na Sweden wakijaribu kuchukua hatua za kujiunga na NATO atatembeza dozi,cha ajabu jamaa wameshaanza process za awali kabisa ambapo mchakato huu huchukua mwaka mzima kumalizika.
Tumeshuhudia England ikiwekeana mkataba wa kiusalama baina ya Finland na Sweden ,kwamba endapo watavamiwa na mbabe yoyote England atawasaidia direct .
Jiulize hapa si tayar wamesgajiunga NATO? Maana kama ukiwagusa Finland na Sweden ,U.K akaingilia ujue hupigani na U.K tuu Bali NATO nzima ,hivyo Russia keshauona huu mtego sidhani kama atajaribu kuvamia hizo nchi.
Huwa tuna under estimate uwezo wa NATO ila hawa jamaa kuifanya Russia kuwa ghost country ni rahis sana ,wanamwekea mitego mingi ,ila nashukuru Russia wamejitambua maana wataiaribu nchi yao kimasihara.
Hapa mama wa Sweden anaanguka sahihi ya NATO application form