Tanzania tofauti na nchi nyingi tunachagua marais maskini ambao hawajui hata kufuga kuku. Hawa watu wakiingia madarakani ndio huanza kuuza twiga, tembo na misitu yetu pamoja na kuingia mikataba mibovu na wageni ili wajipatie chochote.
Lakini watu walioingia siasa tayari wakiwa matajiri kama akina Mbowe wanaweza kutufaa zaidi kwani mara nyingi hawa watu hawatafuti fedha kwa njia za mkato kwani tayari wanazo.
Mbowe anafaa sana kuipeleka nchi kwenye uchumi wa uhakika kwani anajua uchumi sio kinadharia tu bali kivitendo pia.
HONGERA MBOWE KWA MJENGO MPYA HUKO MACHAME PAMOJA NA MADHILA ALOKUFANYIA MWENDAZAKE! UMEUPIGA VILIVYO!https://www.jamiiforums.com/attachments/screenshot_2023-11-12-19-35-48-1-png.2812732/