Tunatakiwa kuwa kwenye nafasi gani ya FIFA ili wachezaji wetu waweze kusajiwa kucheza premier leage

Tunatakiwa kuwa kwenye nafasi gani ya FIFA ili wachezaji wetu waweze kusajiwa kucheza premier leage

75 kuja chini, pia mchezaji anatakiwa amecheza zaidi ya asilimia 70 ya mechi kwenye timu yake ya Taifa, ndani ya miaka 2
 
Nafasi ya Timu asilimia ya mechi za kimataif
FIFA 1-10 30% na zaidi
FIFA 11-20 45% na zaidi
FIFA 21-30 60% na zaidi
FIFA 31-50 75% na zaidi

Kama timu yake ya taifa haipo ndani ya timu 50 za kwanza, kuna criteria zingine.

Kwa mfano, kama timu yake ya sasa imeshiriki mashindano ya UEFA au Europa Champions League na mchezaji ameshiriki kwa asilimia walau 30 ya mechi za ndani.
 
Back
Top Bottom