zamani ilikua 70,siku hizi 50..kuna vigezo zaidi ya hapo75 kuja chini, pia mchezaji anatakiwa amecheza zaidi ya asilimia 70 ya mechi kwenye timu yake ya Taifa, ndani ya miaka 2
75 kuja chini, pia mchezaji anatakiwa amecheza zaidi ya asilimia 70 ya mechi kwenye timu yake ya Taifa, ndani ya miaka 2
Kenya mbona kwenye hizo nafasi haipo lakini kuna mchezaji kutoka kwao anacheza EPL...?zamani ilikua 70,siku hizi 50..kuna vigezo zaidi ya hapo
kacheza scotland muda mrefu,ambayo ni sehemu ya uingerezaKenya mbona kwenye hizo nafasi haipo lakini kuna mchezaji kutoka kwao anacheza EPL...?
Alitokea ScotlandKenya mbona kwenye hizo nafasi haipo lakini kuna mchezaji kutoka kwao anacheza EPL...?