Jana nilishuhudia mchezo baina ya Taifa Stars dhidi ya Lesotho kupitia luninga ya TBC kusema ukweli kiwango cha Tanzania Stars kilikuwa cha chini sana kulinganisha na timu pinzani. Jana hata timu ya Mbao kwa kiwango kile ingeweza kuifunga Taifa Stars. Nashauri tuwekeze hasa kwenye Soka tusiwe tunapata aibu kama ile ya jana. Kweli timu ya Lesotho itoke sare na Taifa Stars?.
Mambo ya hovyo hovyo huku yakisimamiwa na watu wa hovyo hovyoNini hasa kinaisumbua Tanzania?? kwa maana kila kitu wamepewa lakini matokeo si ya kuridhisha
Kumbe ndio maanaMambo ya hovyo hovyo huku yakisimamiwa na watu wa hovyo hovyo
Bora utumie muda wako kwa kukaa breakpoint huku ukishushia na windock kuliko kutumia muda wako kufuatilia soka LA TzKumbe ndio maana
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Bora utumie muda wako kwa kukaa breakpoint huku ukishushia na windock kuliko kutumia muda wako kufuatilia soka LA Tz