and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Waziri wa Afya anatangaza uwepo wa Janga la KIPINDUPINDU kama kitu cha kujivunia kama taifa. Leo nimeenda restaurant Mnazi Mmoja nimeghairisha hata Kula kutokana na mazingira machafu kuanzia jikoni, wahudumu na vyooni. Hapo Kuna Afisa Afya kila Kata anapiga daily kuokota maokoto ya kumalizia mijengo.