Wakuu kama uzi unavyojieleza wewe unatarajia kuanzisha either genge kijiosk.
Duka ama project yeyote yenye kuwekeza kias fulani cha pesa ila kutokana na kukosa ujuzi unahisi kama hutofika mbali na unaamua pesa bora ulee Bata mtaani nakushauri usifanye hivyo
Njoo hapa tupeane Mawili matatu kama msaada na ueleze plan yako ni nini ili tukupe ujuzi......
Nb. Most of people fail because they fail to fail many times.