Tunakufata ulipo. 0674497230
(Kwa wakazi wa Arusha na Dar es Salaam)
Baadhi ya matatizo ya computer tunayo yafanyia kazi.
1.Ku install windows,
2.Kuweka Antivirus,
3.Kuweka office,
4.kuweka pdf reader,
5.computer ipo slow,
6.computer inakua na blue screen,
7.kuweka Aplications kama browsers,
8.kurekebisha computer inayowaka na kuzima mda wote,
9.kubadilisha harddisc kama imeharibika,
10.kuclean computer hardware kama vile fan.
11. Ku install modem
Na matatizo mbali mbali ya computer
Kwa upanda wa website na mobile application
1. Tunatengeneza mobile application na website za office, na pia watu binafsi.
Sent using
Jamii Forums mobile app