ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Imekua kama fashion Tz kujaza lundo la wachezaji wageni katika timu pamoja na mwalimu..badala ya kutengeneza vipaji vipya tumeendelea kuamini kuwa sisi kama sisi hatuwezi..hii ni sumu mbaya !
Ikiwa wachezaji wazawa wana kiwango duni nini kifanyike ? Hivi kweli tunategemea timu ya taifa kuwa nzuri wakati vilabuni wachezaji hodari ni wageni tu ?
Bila kutafakari tutaendelea kulia miaka mia ijayo.hongera sana alliance academy centre mwanza ni wakati sasa serikali kuwapeni supporr kwa juhudi zenu kuvumbua na kuinua vipaji.