Tunategemea Makocha na wachezaji wa Kigeni halafu tunautaka ushindi Taifa Stars

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Imekua kama fashion Tz kujaza lundo la wachezaji wageni katika timu pamoja na mwalimu..badala ya kutengeneza vipaji vipya tumeendelea kuamini kuwa sisi kama sisi hatuwezi..hii ni sumu mbaya !

Ikiwa wachezaji wazawa wana kiwango duni nini kifanyike ? Hivi kweli tunategemea timu ya taifa kuwa nzuri wakati vilabuni wachezaji hodari ni wageni tu ?

Bila kutafakari tutaendelea kulia miaka mia ijayo.hongera sana alliance academy centre mwanza ni wakati sasa serikali kuwapeni supporr kwa juhudi zenu kuvumbua na kuinua vipaji.
 
Taifa Stars ina uhusiano gani na BASHITE, Nasikia kuanzia ameanza kuandamwa na Bashiru na Magufuli kwenye mikutano ya hadhara timu imekuwa hoi
 
Tunawahitaji wacHezaji wa kigeni kwa ajiil ya kufanya ligi kuwa ya ushindani
 
Pia miaka kibao tumewakumbatia hao wazawa kwenye lig nn tumepata....??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…