Jackson996
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 773
- 1,355
- Thread starter
-
- #21
Kitanda million mbili😲😲😲 aisee watu wanajua kufuja pesa
Hahahaha eti milion mbiliKitanda million mbili😲😲😲 aisee watu wanajua kufuja pesa
Hayo ndio matumizi sahihi ya maokoto kama yapo na yanaflow kiuhakika,,hata wewe hicho kitanda chako cha laki na sabini kuna mtu anaona umefuja pesa!!Kitanda million mbili😲😲😲 aisee watu wanajua kufuja pesa
Ah wee bwana milion mbili hapo sii nimeshagegeda warembo 20 wa laki laki tena pisi kweli kweliHayo ndio matumizi sahihi ya maokoto kama yapo na yanaflow kiuhakika,,hata wewe hicho kitanda chako cha laki na sabini kuna mtu anaona umefuja pesa!!
Si unajua tena kila mmoja na kipaumbele/vipaumbele vyake wewe mbususu,,,,mwingine sadaka,,,mwengine fenicha nk nkAh wee bwana milion mbili hapo sii nimeshagegeda warembo 20 wa laki laki tena pisi kweli kweli
mzee wa mbususu uyoSi unajua tena kila mmoja na kipaumbele/vipaumbele vyake wewe mbususu,,,,mwingine sadaka,,,mwengine fenicha nk nk
View attachment 2629673
hiyo tv standa nyuma ya coffee table ni bei gani?
Dining kma hii bei gani ofisa?