Alkam Alkam
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 603
- 512
Ni text number hiyoMkuu mimi naomba nijiunge nanyi ofisini kwenu nijifunze kutengeneza mabango, utanichaji kiasi gani kwa mwezi.
Ongera Kwa Kazi Nzuri: Naomba Unisaidie Kujua Gharama Ya Kufungua Office Ya Design Na Kutengeneza Mabango, Nikiwa Na Sh Ngapi Naweza Kuanza Biashara Hiyo?
Bango kama hilo kwenye picha unachaji bei ganiHaihitaji mtaji inaitaji connection tu ya kupata kazi maana asilimia kubwa kazi wanafanya wepesi
Bango kama hilo kwenye picha unachaji bei gani