Usikimbilie kuweka namba huku tangazo likiwa halitoshelezi,wengine hawapendi kupiga simu ovyo ovyo,tangazo lako linabidi lijibu kila kitu,ibaki kwa serious buyer kukupigiaUliza utajibiwa
Ewaaa hapo ndo penyewe sasa, kazi nzuri sana. Tena sana.
Nzuri,bei ya jumla ni kuanzia ngapi,na bei yake?