Tunatengeneza na kuuza furnitures za majumbani na ofisini

Joined
Dec 6, 2018
Posts
36
Reaction score
9

Attachments

  • IMG-20200910-WA0011.jpg
    83.7 KB · Views: 4
Kiongozi kama hutojali naomba bei ya kitanda cha pili ktk picha na hiyo double decker. Otherwise kazi nzuri!
 
Ungeweka tuu bei kwa kila kimoja,haimalizi bando mkuu
 
Nikija na ngozi yangu unaweza kunitengenezea sofa?
 
Ninataka sofa la nyumbani full set la watu watano la lether ni sh ngap
 
Naona kazi Pierre Liquid kaaamua kuzileta kwa GT. Hongera mkuuu
 
Hongera sana. Samahani Nina maswali na ninaomba uyajibu kwa ukweli.
1. Wewe ndiye mtengenezaji haswa au ni dalali? Keko ninaifahamu ndani nje.
2. Jina la biashara au hii show room inaitwaje? Na kiwanda ni kwa nani nikifika niulizie? Sitaki nikupigie simu.
3. Hivyo vitanda unatengeneza kwa hard wood au soft?
4. Makabati ni hard wood au ni MDF?

Tuanze kwanza na haya
 
Nafuatilia Kwa Karibu UlichoulizA Akujibu
Naongezea Keko Naijua Vizuri Sana
Bidhaa Aweke Bei Hadharani
Mambo Ya Kupiga Simu Ni Baadaye
 
1. Ndio mimi ni fundi kwa kushirikiana na wenzangu
2.Ukifika keko magulumbasi ulizia Jack, Emma, Said au Hamadi
3. Kuhusu material ya vitanda na makabati ni pendekezo la mteja kutokana na mfuko wako utasema unataka material gani
 
Nafuatilia Kwa Karibu UlichoulizA Akujibu
Naongezea Keko Naijua Vizuri Sana
Bidhaa Aweke Bei Hadharani
Mambo Ya Kupiga Simu Ni Baadaye
Mkuu chagua bidhaa unayo ihitaji nami nitakutajia bei hapahapa ila ukitaka maelewano zaidi fika keko magulumbasi au piga simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…