habari.
naweza kupata ramani ya nyumba ya vipimo hivi
Nina kakiwanja kadogo measuring 14 x14 meters.
Nataka kuweka frame moja ya duka la dawa baridi na mamlaka ya dawa nasema minimum dimension of the duka la dawa iwe futi 10 urefu, futi 9 upana na futi 8 kimo
Pili nataka nipate frame ya duka
tatu, chumba kidogo cha kulala mfanyakazi kuweka kitanda cha 5x6. If possible chumba na ka sebule kadogo. Is this possible kwa ka kiwanja ako?