Katika simulizi za maisha ya viumbe nilipitia simulizi ya Nyoka mwenye sumu kali sana duniani ajulikanaye kama Black Mamba, anapokuuma basi huchukui dakika unapoteza uhai.
Ingawa huyu nyoka yeye hana kawaida ya kumshambulia adui yake isipokuwa pale anapoona uhai wake uko shakani na hana wa kumtetea.
Nina wasiwasi huku Taifa letu linakokwenda kupitia wana usalama wetu na matendo ya utekaji na kuwazulumu haki wananchi, basi uko uwezekano wa wananchi kugeuka black mamba kwa wanausalama wetu na familia zao ili kujilinda kwani hawana wa kuwatetea, tuangalie tusifike huko.