Tunatengeneza urembo wa mageti, fensi, madirisha, milango, balcon na vitanda

Elon Mzebuluni

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2016
Posts
225
Reaction score
139
Habari!
Kwa mahitaji ya urembo wa mageti, madirisha, milango, balcon na vitanda usisite kutucheki tukuhudumie.
Pia tunafanya kazi yeyote ya casting.
Karibu bei zetu ni za kishindani na nafuu.
Tupo Mbeya mjini.
 
Weka geti lililokamilika tuone, najenga Iyunga huku.
 
Kwa kifupi weka kazi zako ulizofanya tuone kama tangazo lako ulivyoeleza.
 
Mkuu nipo Kalobe huku ningependa kuona kazi zako zilizokamilika kabisa kama hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…