Cantona fundi mkuu
JF-Expert Member
- May 21, 2023
- 295
- 313
- Thread starter
-
- #21
Ni km Milion 2.3 had 2.5.. itategemea na material na design utayoitaka boss.. na pia je utahitaji tu design na ndani km shelves au Banda tu..Nataka kwa ajiri ya cosmetics mkuu 7x8 hv makadirio ya bei?
Na ya ndaniNi km Milion 2.3 had 2.5.. itategemea na material na design utayoitaka boss.. na pia je utahijaji design ya ndani au Banda tu..
Mm na tengeneza kwa mbao tu boss wangu..Vya mbao tu hamna vya chuma ?
Lakini kama cha chuma si unaweza fanya designing ndani?Mm na tengeneza kwa mbao tu boss wangu..
Full kila kitu 2.8M hapo ni kila kitu tunakuwea shelves 4 pande zote mbili,kila upande shelves mbili za futi 4.. reception table.. Yan ni wewe tu kuja na products zako bossNa ya ndani
Ndio boss tunafanya..Lakini kama cha chuma si unaweza fanya designing ndani?
Good jobVp boss
Boss wangu ad vibanda vya mbao tunatengeneza Kisha tunapga stika hapo maji yanateleza tu na linapendeza sanaaaaa Aya wafanya biashara nopeni kaz..
0692477610
Hizi sio za level zetu wa mtaji wa Laki tanoFull kila kitu 2.8M hapo ni kila kitu tunakuwea shelves 4 pande zote mbili,kila upande shelves mbili za futi 4.. reception table.. Yan ni wewe tu kuja na products zako boss
Vipo ad vya laki 5 boss.. sema utofauti ni material tu yanayotumika .. Kuna mbao kupigwa rangi ila itaathitika na maji na kuoza badae na Kuna kuweka stika haingii maji haichafuki unafuta tu..Hizi sio za level zetu wa mtaji wa Laki tano
Ahaa hapo sawa mkuu. Cha laki tano kinakuwa n dimension kiasi ganiVipo ad vya laki 5 boss.. sema utofauti ni material tu yanayotumika .. Kuna mbao kupigwa rangi ila itaathitika na maji na kuoza badae na Kuna kuweka stika haingii maji haichafuki unafuta tu..
Karbu boss wangu tutakutengenezea kutokana na bajeti yako
Futi 3 kwa 4 bossAhaa hapo sawa mkuu. Cha laki tano kinakuwa n dimension kiasi gani
Karibu sana boss wangu utapata tu pesaKazi nzuri sana ningekuwa na pesa
Neno" Boss" umelirudia mara nyingi sana kwanini?Tunatengeneza kwa oda boss.. bei inategemea na ukubwa unaotaka boss.. km icho ni futi 7 kwa 8 ni Milion 2 na nusu boss..full kila kitu boss wangu
Asante haitoshi dogo changamkia ofa ya kibanda.