Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,186
- 7,492
safi sanaKutokana na kila siku kukabiliana na visa vya watu kuumizana vibaya kwenye mapenzi, tumeamua kuanzisha utaratibu wa kutoa bima za mapenzi kwa wanaohitaji ili kuwasaidia pindi wanapokuwa wahanga. Mnakaribishwa sana kujiunga..
Ofisi itahakikisha unapewa huduma mbadala inayolingana na bima yako, ukitoka hapo frustration zote zimeisha, mwepesi kabisa. Hata kama ulikusudia kumaliza mtu, utarudi home unatabasamu tu.toa maelezo basi itakuwa ina cover vipi if bebi umemkuta guest na ulikuwa umekatia bima kubwa
Mahakama ipo njiani inakuja mkuu.Love ❤ insurance asee Jesus is coming back. Anzisha na mahakama ya mapenzi kabisa .