Tunatoa huduma ya Fumigation kuua wadudu

Tunatoa huduma ya Fumigation kuua wadudu

Mijicho

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2009
Posts
282
Reaction score
219
Habari wadau.

Natoa huduma za kuuwa wadudu/fumigation,kwa kupulizia madawa .

Napatikana dar es salaam
Tunafanya majumbani maofisi na sehemu zingine zozote,
Kwa upande wa Bei zetu ,huwa tunaangalia na sehemu husika nna matatizo yaliyopo Kisha tunatoa Bei kulingana .

Karibuni mniunge mkono.
 
Habari watu wangu wa kweli,

Karibuni tufanye biashara.

Tunapulizia madawa ya kuuwa wadudu(fumigation ) nyumbani,maofisini, viwandani, kwenye containers ,hotels etc.

Dawa zetu zimethibitishwa kuuwa wadudu wanaomtambaa,warukao, na kadhalika na pia ni salama kwa binadamu.

Kwa utaratibu wetu ,ukitupigia simu au kuwasiliana na sisi,tunapenda kujua mazingira ya eneo lako na ikiwezekana kuja kutembelea /site visit ,halafu tukakubaliana bei na muda ,halafu kazi inaanza mara moja.Na tuna utaratibu wa kufuatilia matokeo na ufanisi ,iwapo itatokea kuna tatizo bado kwa namna yotote tutarudi kuja kushughulikia.

Karibuni wote.

Mawasiliano kwa ambao wako serious njoo inbox please

MJC
 
Ongeza Maelezo

Upo Wapi Na Gharama Zikoje

Ongeza Maelezo

Upo Wapi Na Gharama Zikoje

Asante kwa kunikumbusha, sisi tunapatikana Dar es salaam,Tumehamia Kijitonyama.
Huduma zinamfikia mlengwa popote katika nchi hii.
Huduma mfano nyumba za makazi,zinakua kuanzia laki mbili mpaka 3 kutegemea na ukubwa wa nyumba na eneo la nje ambapo tukishakagua tutakupa gharama halisi.
Tunatoa guarantee ya miezi mitatu baada ya kazi.

thanks
 
Back
Top Bottom