Habari watu wangu wa kweli,
Karibuni tufanye biashara.
Tunapulizia madawa ya kuuwa wadudu(fumigation ) nyumbani,maofisini, viwandani, kwenye containers ,hotels etc.
Dawa zetu zimethibitishwa kuuwa wadudu wanaomtambaa,warukao, na kadhalika na pia ni salama kwa binadamu.
Kwa utaratibu wetu ,ukitupigia simu au kuwasiliana na sisi,tunapenda kujua mazingira ya eneo lako na ikiwezekana kuja kutembelea /site visit ,halafu tukakubaliana bei na muda ,halafu kazi inaanza mara moja.Na tuna utaratibu wa kufuatilia matokeo na ufanisi ,iwapo itatokea kuna tatizo bado kwa namna yotote tutarudi kuja kushughulikia.
Karibuni wote.
Mawasiliano kwa ambao wako serious njoo inbox please
MJC