Tunatoa huduma ya graphic design na kutengeneza matangazo mbalimbali

Tunatoa huduma ya graphic design na kutengeneza matangazo mbalimbali

Joined
Apr 2, 2024
Posts
31
Reaction score
33
Je unahitaji huduma bora za Graphic Design? Kama jawabu ni ndio! Basi hii ni sehemu sahihi ya kutatua haja yako.

Tunatoa huduma bora za graphic design kwa bei nafuu:

🔹 Huduma ya Logo design zenye kuvutia na za kipekee.

🔹 Huduma ya business Card design.

🔹 Huduma ya Flyer

🔹 Huduma ya poster za Miitandao ya Kijamii zenye nguvu na mvuto.

Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi na punguzo la kwanza kwa wateja wapya!

📧 Barua pepe: kittomussa@gmail.com
📞 Simu: +255 687 602 205

Tuko hapa kuiufanya biashara au Brand yako ionekane tofauti na yakuvutia zaidi mtandaoni!
poster 2.jpg
 
💥OFFER 💥OFFER 💥OFFER
pata logo ya kisasa
Hii ni Kwa wafanya biashara wote
💥TUSTARY GRAPHIC DESIGNER Tumekuletea bei ya offer Kwa wafanya biashara wote na makampuni mbali mbali tunakutengenezea LOGO nzuri na bora.
FAIDA ZA KUWA NA LOGO
1. LOGO ya biashara ni utambulisho wako. Kitu kitakachoitambulisha biashara yako au huduma yako bila kujali kama ni bidhaa iko katika uzito au ujazo gani na kama ni huduma haitajalisha inatolewa sehemu gani ni nembo.
2. LOGO inatengeneza hisia, fikra, mwamko na hamasa ya kununua huduma au bidhaa kwa mteja. Kwa mfano ni kawaida kusikia mtu akisema nimeona matangazo ya kampuni fulani kwani imefika hadi huku? Mara nyingi kitu cha kwanza kujiuliza itakuwa ni nembo ya kampuni au biashara.
3. LOGO inasaidia kuonyesha umaridadi na ufanisi wa kampuni.
NB: Tunatoa huduma masaa 24/7
Call us/ Whatsap
0687602205
inbound1368103288.jpg
inbound1368103288.jpg
 
Kama unahitaji logo kali kwaajili ya biashara yako basi usikose kupitia hapa ili uchague zipo design mbalimbali za logo:
 
Back
Top Bottom