💥OFFER 💥OFFER 💥OFFER
pata logo ya kisasa
Hii ni Kwa wafanya biashara wote
💥TUSTARY GRAPHIC DESIGNER Tumekuletea bei ya offer Kwa wafanya biashara wote na makampuni mbali mbali tunakutengenezea LOGO nzuri na bora.
FAIDA ZA KUWA NA LOGO
1. LOGO ya biashara ni utambulisho wako. Kitu kitakachoitambulisha biashara yako au huduma yako bila kujali kama ni bidhaa iko katika uzito au ujazo gani na kama ni huduma haitajalisha inatolewa sehemu gani ni nembo.
2. LOGO inatengeneza hisia, fikra, mwamko na hamasa ya kununua huduma au bidhaa kwa mteja. Kwa mfano ni kawaida kusikia mtu akisema nimeona matangazo ya kampuni fulani kwani imefika hadi huku? Mara nyingi kitu cha kwanza kujiuliza itakuwa ni nembo ya kampuni au biashara.
3. LOGO inasaidia kuonyesha umaridadi na ufanisi wa kampuni.
NB: Tunatoa huduma masaa 24/7
Call us/ Whatsap
0687602205