Tunatoa huduma ya kuosha magari

Tunatoa huduma ya kuosha magari

kigwenje

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2018
Posts
277
Reaction score
224
Tunatoa uduma za usafi wa magar aina yote, makubwa kwa madogo, tunapandisha juu, inaoshwa chesesi na kwenye ingine, pamoja na ndani, tunasafisha siti, rufu ya juu, tunapiga wax, pia na taa, tunanyoosha gar kama limegogwa, na kupiga rangi, Tupo mwenge mpakani kwenye sheli ya Oili com. Mawasiliano 0757416664 au 0655556426.
 
Kuna gari niliiagiza japan nikakuta nyuma kwenye Diff ina kutu nyingi, hiyo tunaifanyia huduma gani isije kuleta shida baadae ?
 
Back
Top Bottom