Kaka mwisho
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 407
- 178
40-50Kukodi eka ni bei gani?
Gharama nafuu ndio kiasi gani?Wakulima, kwa yoyote anayehitaji kulima kilimo cha matikitimaji, nyanya,mahindi na nk ambaye hana muda au kwake usimamizi ni changamoto unakaribishwa. Tunatoa huduma ya kusimamia shamba lako kuanzia mwanzo mpaka siku unapokuja kuvuna au kuuza mazao yako.
Gharama zetu ni ndogo sana.
Kwa mawasiliano zaidi 0622925630
Mkuu nakusoma nikiwa bar,Take risk guys cyo kutumiatumia tu pesa huku ujawai hata kurisk 50k
Kuna MTU anakunywa elfu 50 Leo hii kwa siku moja hat kukodi shamba anaogopa ni hatari Sana'a nimeshawai kuweka kuweka kweny tikiti lkn cjapata kitu ila nikajifunzaa kitu hadi SAS natusua mdogomdgi
Huu uhuni umenifanya mil 1.6 zimepotea kilimo kam haupo usilime au ukubali kumpa mwenye shambaUkiona unaitwa kwenye fursa ujue wewe ndio fursa
Mkuu kilimo ni usimamizi usijidanganye kumwmini mtu watu ssa hawna huruma wanataka kutajirikia kwawengineTake risk guys cyo kutumiatumia tu pesa huku ujawai hata kurisk 50k
Kuna MTU anakunywa elfu 50 Leo hii kwa siku moja hat kukodi shamba anaogopa ni hatari Sana'a nimeshawai kuweka kuweka kweny tikiti lkn cjapata kitu ila nikajifunzaa kitu hadi SAS natusua mdogomdgi