Tunatoa huduma ya personal secretary

Joined
Apr 5, 2020
Posts
29
Reaction score
14
Hello,

Naitwa khadija TUNATOA HUDUMA za kuandika barua za maofisi, invoice, delivery, excel. Tunajua sio kil Mtu ana komput au ana uwezo Wa kutumia komputa, hivyo kila kitu na tunafanya through online sio lazima tuwe wote kwenye ofisi moja.

HUDUMA Ipo hivi unaandika kwenye karatasi yako na kalam may be mm kazi yangu ni kutype kulingana na uhitaji Wa mteja halafu tunatuma unahakiki km kuna marekebisho tunarekebisha...Karibuni Sana

Tupo Kariakoo mtaa Wa Narung'ombe na Likoma.

0653970936 /0766597157
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…