Tunatoa huduma ya Tuition kwa wanafunzi wa O Level na A Level

Tunatoa huduma ya Tuition kwa wanafunzi wa O Level na A Level

westandtogether

Senior Member
Joined
Jul 8, 2020
Posts
164
Reaction score
242
Habari wanaJF,

Tuition kwa wanafunzi wa sekondari O'level na A'level, nafundisha kwa wanafunzi watakaohitaji huduma
Majumbani kwao na centre pia.

Masomo yanayofundishwa ni:

1. Physics (O'level na a'level)
2. Chemistry (O'level na a'level)
3. Mathematics (O'level na a'level)

Masomo haya yatafundishwa kwa topic:

Napatikana Dar pia na mikoani tunafundisha; 0711633656/0734312612
 
Mbona hujaweka kiwango chako cha Elimu?
Mfano una Diploma au Bachelor degree(Specialization).
Vikijulikana hivyo analetwa mtu.
Mwaga sifa za hao walimu uletewe mteja.
 
Mbona hujaweka kiwango chako cha Elimu?
Mfano una Diploma au Bachelor degree(Specialization).
Vikijulikana hivyo analetwa mtu.
Mwaga sifa za hao walimu uletewe mteja.
utanishtua.. 😁
 
Habari wanaJF,

Tuition kwa wanafunzi wa sekondari O'level na A'level, nafundisha kwa wanafunzi watakaohitaji huduma
Majumbani kwao na centre pia
Masomo yanayofundishwa ni;

1. Physics (O'level na a'level)
2. Chemistry (O'level na a'level)
3. Mathematics (O'level na a'level)

Masomo haya yatafundishwa kwa topic:

Napatikana dar pia na mikoani tunafundisha; 0711633656/0734312612
 
Mbona hujaweka kiwango chako cha Elimu?
Mfano una Diploma au Bachelor degree(Specialization).
Vikijulikana hivyo analetwa mtu.
Mwaga sifa za hao walimu uletewe mteja.
Ualimu ni wapo.
tupo wa ngazi tofauti diploma na degree ambapo tume specialize masomo ya science
 
Likizo tunatoa mafunzo ya tuition kwa wanafunzi wa 0-level na A-level kwa masomo ya sayansi yaan physics, chemistry na mathematics
 
Back
Top Bottom