Tunatoa huduma ya Uchimbaji wa Kisima

abasi yahya

Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
8
Reaction score
23
FURAHA YETU: Ni...

√ Kukuona UNATIMIZA NDOTO YAKO ya kua na kisima chako cha maji safi kwenye eneo lako (nyumbani, shambani, gereji nk)

√ Kukupa MUONGOZO na USHAURI wa namna sahihi ya matumizi na uangalizi wa kisima chako

√ Kukupa USAIDIZI na MATENGENEZO ya kisima chako wakati wowote na mahali popote ulipo
___

WATAALAMU WA MAJI [UCHIMBAJI VISIMA NA MIFUMO YA MAJI]

∆ 6 months ya warranty na marekebisho (matengenezo) ya BURE pamoja na usimamizi wa kisima kwa miezi sita
__

KWA MAHITAJI YA:

1) Geophysical Survey

2) Water Well Drilling Services

3) Water well Flushing And Rehabilitation

4) Pump Installation And Services

USHAURI NI BURE | Catch Us Through

0718600290 | 0745687585 | 0629270290

We Offer Intelligent And Professional Water SolutionsView attachment 2355164View attachment 2355167View attachment 2355168View attachment 2355165View attachment 2355166View attachment 2355169
 
Nikichimba kisima Kama icho navutaje maji kwa ajili ya kumwagilia shambani?
 
Nipo Kisarawe eneo la Maneromango, kupata huduma yenu itaghalimu bei gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…