Tunatoa huduma ya ufugaji samaki na kuuza vifaranga vya samaki

Tunatoa huduma ya ufugaji samaki na kuuza vifaranga vya samaki

Justus wisdom

Member
Joined
Jul 31, 2022
Posts
6
Reaction score
2
Karibuni kwa huduma ya ufugaji wa samaki na mbegu bora ya samaki sato na kambale.

Tunapatikana Bunju B Darajani (mingoi), njia ya kwenda bagamoyo karibuni sana.


796CD972-B4BA-4756-A979-0F493DDBB97E.jpeg
 
Tangazo halijitoshelezi
Mnatoa huduma za ufugaji samaki kivipi?
Mnachimba mabwawa?
 
Tangazo halijitoshelezi
Mnatoa huduma za ufugaji samaki kivipi?
Mnachimba mabwawa?
Huduma yoyote mkuu , kuanzia uchaguzi wa maeneo, uchimbaji wa mabwa , usimamizi, mbegu bora za samaki (sato na kambale), tunauza pia vifaa vya ufugaji samaki (chakula, neti za kufugia, neti za kuvuli, neti za kufunika bwawa n.k) na ushauli wa kitaalam Juu ya ufugaji samaki. Karibu sana.
 
Back
Top Bottom