Huduma yoyote mkuu , kuanzia uchaguzi wa maeneo, uchimbaji wa mabwa , usimamizi, mbegu bora za samaki (sato na kambale), tunauza pia vifaa vya ufugaji samaki (chakula, neti za kufugia, neti za kuvuli, neti za kufunika bwawa n.k) na ushauli wa kitaalam Juu ya ufugaji samaki. Karibu sana.