Tunatoa huduma ya usafiri kwenye harusi, msiba au tripe tour

Tunatoa huduma ya usafiri kwenye harusi, msiba au tripe tour

Nyumbu9

Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
73
Reaction score
13
Habari ndg wana JF.
Napenda kuwajulisha kuwa sasa hauna haja ya kuangaika kutafuta huduma ya usafiri unapokuwa na shughuli yako ya Harusi, Msiba au Any tripe Tour.
Tuna magari aina zote ya Maharusi kuanzia Benz, Vogue, Verosa na Saloon car za kawaida.
Costa mpya kabisa kwa beu ya Tsh 150,000 kwa route fupi
Noah kwa ajili ya wapambe kwa bei ya Tsh 150,000/- pia kwa route fupi na Gari ndogo kama saloon car kwa ajiri ya kubeba wazazi na nk.
Gari hizi zote ni mpya na zipo kwenye hari nzuri sana.
Kwa maitaji yako piga number 0684 333 695.
Huduma hii ni kwa wakazi wa Dsm
 
Back
Top Bottom