Tunatoa huduma ya usajiri wa makampuni (brela) kwa bei nafuu

mdome

Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
8
Reaction score
0
Habari zenu wadau je unahitaji kusajiri kampuni yako kwa gharama nafuu basi usipate shida wasiliana nasi kupitia mabaladome@gmail.com kwa maelezo zaidi karibu sana.
 
Habari zenu wadau je unahitaji kusajiri kampuni yako kwa gharama nafuu basi usipate shida wasiliana nasi kupitia mabaladome@gmail.com kwa maelezo zaidi karibu sana.

Kwani nyie ni Wakala wa Brela, kwanini nisiende Brela moja kwa moja, au nyie mnatoza malipo madogo kuliko hao Brela wenyewe?
 
maelezo machecha sana tupe hata briefing ya profile yako kampuni ngap umewah simamia zika sajiliwa
 
Duh kweli hii Dar.
Sasa unanichanganya nyie mnasajiri ila mie najua Brela waohawa sajiri,wao huwa wanasajili

Hivi nani anashidwa kwenda pale Brella,

Au ni Kampuni mpya mmeanzisha?

Maana Brela wao wapo kwenye BRELA
na email ya Deputy Register andrew.mka​pa@brela-tz​.org
info@brela-tz​.org
ps@brela-tz​.org

Sasa kama nyie kampuni mpya tuambieni kusajiri ndio nini ili tujue,maana nchi inamakabila mbali mbali,inawezekana Kusajiri ni kutafuta wachumba au
 
tunachokifanya hapa ni kukusaidia wewe unayetaka kufungua kampuni yako kwa kukuandalia documents muhimu zinazohitajika katika usajili wa kampuni yako ambazo ni MEMORANDUM AND ARTICLES OF ASSOCIATION (MEMARTS) na kufanya mchakato wote wa kupata Certificate of incorporation inayotolewa na Brela.
 

Sasa kama ni hivyo basi itabidi useme kazi yenu kuandaa MEMORANDUM AND ARTICLES OF ASSOCIATION (MEMARTS) na sio kufanya mchakato wowote kwa sababu nyie sio wasajili. Msajili ni BRELA. Period
 
msimshambulie jamani,,sio kila mtu anapajua BRELA, wala sio kila mtu anapenda usumbufu wa kwenda na kurudi BRELA, pia kuna watu wanataka kusajili makampuni wapo nje ya nchi hawana hata working permits bado, na wao waende BRELA wenyewe?
 
GK nae hufaham kazi za Brela na utendaji wake.Kwanza hawana wakala
Hata kama mtu yupo nje inabidi awe na muwakilishi wake huku.Na pia kuna sehem lazima u sign mhusika.
Na hata kama mtu yupo nje basi wao Brella wana mfumo wao wa moja kwa moja na mhusika.
Na pia Form ya usajili ipo online.
Mie naungana na Hekimatele kwamba wao wangejikita kwamba wanaandaa MAMARTs na pia kama mtu akitaka msaada wa kusajili Brella wao watamsaidi kwa kumpa nji.
Maana hi pia ksei kusimama kama wakal wa Brela wakati wao Brela hawana wakala.
Likitokea Tatizo?utaenda Brela au kwa middleman?
 
habari zenu wadau je unahitaji kusajiri kampuni yako kwa gharama nafuu basi usipate shida wasiliana nasi kupitia mabaladome@gmail.com kwa maelezo zaidi karibu sana.

'haya tunaomba ubadilishe topic haraka sana kabla hatujakung'oa kucha na kukumwagia tindikali...'
 
jamani mngekuwa mnajua ukiritimba uliopo pale brela msingemshambulia jamaa!unapeleka pale document zako,wanakwambia rudi baadg ya wiki 2,ila ukimpata mtu pale ni cku moja tu,unaondoka nayo,labda jamaa wameshatengeneza mazingira na watumishi wa pale,au nao ni wadau na jamaa mambo yanakwenda mswano tu.
 
Sasa kama ni hivyo basi itabidi useme kazi yenu kuandaa MEMORANDUM AND ARTICLES OF ASSOCIATION (MEMARTS) na sio kufanya mchakato wowote kwa sababu nyie sio wasajili. Msajili ni BRELA. Period
kama kitu hukijui ni bora ukapita tu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…