Tunatoa Huduma za kitaalamu za Electrical, Electronics na Smart Security system

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,637
Tunatoa Huduma za kitaalamu za Electrical, Electronics na Smart Security system

HUDUMA ZETU

1.kuunda kifaa au kutengeneza mchoro wa kifaa cha kielectronics kulingana na wazo(idea) ya mteja,kwa kutatua changamoto yake au ya jamii.

2.Kuunda vifaa mbalimbali vya ki-Electronics kulingana na mahitaji au utatuzi wa changamoto flani.

3.Kushirikiana na wataalamu wa ki-electronics katika kukamilisha project mbalimbali

4.Kushirikiana na wanafunzi wa kielectronics katika kukamilisha Project zao.

6.Kufundisha Course mbalimbali za kielectronics na Electrical kulingana na mahitaji ya mwanafunzi au Chuo(Theory and Practical).

7.Kuunda vifaa vya kielectronics vya kutumika katika sector mbalimbali..Kilimo,Mazingira,Afya,Michezo,Usalama na Ulinzi.

8.Kufanya Automation ya mitambo na mashine mbalimbali,kulingana na mahitaji.

9.Tunafundisha na kuunda mashine za kutotoresha vifaranga za aina mbalimbali.

10.Tunatoa huduma za kufunga Electrical Security fence,CCTV camera

11.Pia tunafunga umeme majumbani na viwandani.


WHATSUP 0785-165877

Karakana yetu ipo Kituo cha Sheraton njia ya kwenda chanika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…