Tunatoa huduma za kutengeneza kompyuta. Tupo Shinyanga Mjini

Tunatoa huduma za kutengeneza kompyuta. Tupo Shinyanga Mjini

Joined
Apr 2, 2024
Posts
31
Reaction score
33
CHUKUA HII🔥:

Je, Unatafuta Fundi Laptop & Desktop na smartphone ambaye anatatua Matatizo haya?

TUSTARY GRAPHIC DESIGNER AND WEB DEVELOPER. Najikita kuhakikisha nafanya Uchunguzi (Diagnosis) ya Tatizo kwenye Laptop/ Desktop yako na smartphone

📍Je mshale Wa kwenye kompyuta(cursor) umepotea?
📍. Je kompyuta yako imeganda ghafla bila kuendelea baada ya kuiwasha?
📍. Je spidi ya Kompyuta yako inalidhisha wakati wa matumizi?
📍. Je hivi umeweka ulinzi madhubuti kwa ajili ya Kompyuta yako?
📍. Je una-backup kwa ajili ya Data kwenye Kompyuta yako?
📍. Na ni kweli imefika hali Mfumo wa utendaji “window” kwenye Kompyuta yako umeisha muda wake?
📍. Umefika mahali kompyuta yako imeshindwa kabisa kuunganishwa na Printer ili upate ku-print?
📍. Je kompyuta yako imejaa vitu/data sana na hujui nini ufanye?
📍. Je kompyuta yako imezima ghafla?
📍. Je umepoteza data na unashindwa jinsi gani ya kuzirudisha?
📍. Je kompyuta yako haina program mbalimbali bhasi nitakuwekea program nzuri kwa ajili ya kompyuta yako au simu

USIPITWE NA HII:
Leta Kifaa chako Nikiweke sawa,,kupunguza gharama za kununua Kifaa Kipya.

N.B. Kwa sasa tunatoa Huduma ya Utengenezaji wa Desktop & Laptop(upande wa software tu) na smartphone settings kwa kukufuata Pale Ofisini Kwako Ulipo, haina haja ya wewe kuondoka Ofisini Kwako wewe Niite tu nami Nitakuja.

Nipigie/Tuma SMS/Whatsapp kwenye namba hizi tutahakikisha tatizo lako linatatuliwa.

0687602205

Nipo hapa Shinyanga mjini mtaa wa matanda pia NA weza kukufikia popote ulipo ndani ya shinyanga mjini tu.
 
Back
Top Bottom