Ikitokea umepima upatikanaji wa maji ukawa labda ni mita 40. Kweli maji yamepatikana ya kutosha. Endapo maji yale kabla ya kuanza kuyatumia tukapeleka sampuli kwenye Maabara ya Maji kuyapima. Majibu tukapewa kuwa yale maji siyo salama. Hapo malipo yanakuaje?? Je kama tukishauriwa kwenda chini zaidi kufikia mita 60 gharama itaongezeka au itabakia ile ile ya awali ya mita 40??Hilo suala ni maamuzi yako tu mkuu maana kuna mawili inawezekana mkondo uliopo kwa jirani yako kwako haupo au upo. Hivyo ukisema njooni mnichimbie twaja kufanya kazi.
Ingawaje kama hutojali ukipima unakuwa na uhakika na bajeti yako ... Tofauti na usipopima maana yake maji yatakapopatikana ndio hapo hapo
Swala la ubora wa maji huwa ni suala ambalo linakuwa gumu kumuwajibisha mchimbaji maana hana hatia. Kuhusu kuongezeka kina kutokana na ulazima wa kitaalamu maana yake hapo mteja atahesabiwa ongezeko la mita na kuongeza gharama.Ikitokea umepima upatikanaji wa maji ukawa labda ni mita 40. Kweli maji yamepatikana ya kutosha. Endapo maji yale kabla ya kuanza kuyatumia tukapeleka sampuli kwenye Maabara ya Maji kuyapima. Majibu tukapewa kuwa yale maji siyo salama. Hapo malipo yanakuaje?? Je kama tukishauriwa kwenda chini zaidi kufikia mita 60 gharama itaongezeka au itabakia ile ile ya awali ya mita 40??
Hakuna kipimo hapa kwetu nchini kinachoonesha dhahiri kiasi cha chumvi (madini) yaliyopo kwenye maji. Mtu akikuambia hvo ujue anadanganya nawe pia usikubali kudanganyika.mnao uwezo wa kugundua aina ya maji kabla ya kuchimba?!
ie chumvi,magadi ?
Ok tupo pamoja nawe endelea kuweka vitu.Endelea pia kufuatilia ukurasa wetu fb ili kujipatia taarifa mbalimbali na matukio mbali yanahusiana na huduma ya kisimaView attachment 1702161
Ripoti 600k...??? Huu upigaji.kila la kherKupima na kuandaa ripoti ya upimaji ni 600,000/= na kuchimba+UPVC ni 80000/1M na kma bila UPVC ni 60/1M.
Karibu mkuu
Kwa mtu aliepo dar eneo chamazi bei ya kila kitu mpaka maji kutoka ni sh ngap mkuu?Kazi zinaendelea... Bado wewe
Hamna ukweli, maji ya kisima yanayochimbwa ni tofauti kabisa na ya mvua.Nimewahi kusikia kwamba Siyo sahihi kuchimba kisima kipindi cha mvua ama muda mfupi baada ya mvua kukatika. Kwamba unaweza kupata maji Yale ya mvua na baada ya muda yanaisha.
Je kuna ukweli juu ya hili?